Skip to main content

News

Etiene sitting in a chair looking at the camera

Meet Etiene

Etiene is one of our Community Ambassadors, and this is his story.

My name is Etiene Ndambara.

I was born in DR Congo, I was a Theology teacher, due to the Daily War that occurred in my country, on the 26/02/2013 my family and I were attacked by bad people. They hit me on my back with a big stick, and as a result I became disabled for rest of my life.

I arrived in Australia in 2018 as refugees, towards the end the year so when I got here, I began treatment for my back problem, but I was not getting better and as a result, I started losing hope in myself, but for us who believe in God, we believe than even at the last minute we can get a solution to our problems, so I kept going.

In 2019, the Red Cross received my family and helped us to Settle in and they also connected me with a KIN Disability Advocacy advocate. I met and started talking to the advocate several times, I knew I could trust her, and I shared all my stories about my life.

Since then till now, Kin Disability Advocacy (KIN) continues being on my side and connecting me with NDIS. NDIS has given all the help that I need due to my condition, I have also been connected with Homes West (Department of public housing).

Now I am an ambassador at KIN, I agreed to be an ambassador so that I can help people in my community or church members to know more about disability rights.

Due to my experience, I encourage everyone who has similar problems to come and join Kin Disability Advocacy.

Thank you very much, Etiene Ndambara.

 

Mimi naitwa kwa Majina yafwatayo: Etienne Ndambara.

Ni Muzaliwa wa Rdcongo, zone ya uvira cite’ ya Sange, village: Kyanyunda, nataka nitowe ushuhuda kidogo kuhusu yaliyo nifikiya ili nipate kuwa Mulemavu: munamo mwaka wa 2013, mwezi wa 2 ,tarehe 26. Tulivamiwa nyumbani tulimwo ishi, na watu ambao ni wa halifu, kufuatana na mizozo ya vita vya siku kwa siku Nchini DRC, wakanipiga fimbo kubwa kwenye uti wa Mugongo, kwa hiyo vime ni weka kuwa mulemavu wa Maisha yangu yote,  basi kwa kifupi tulipo fika hapa Australia munamo mwaka wa 2018, tulipokelewa na shirika linaloitwa Red Cross, ni shirika ambalo Lina saidiya watu walio ingiya Australie kama ma Refugees kuzoweya Nchi hiyi, nakuwapa ujuzi wa kujuwa kukaa na watu tulio kutana hapa, basi shirika hili liliweza kunipa huduma, nyuma ya hapo waka nipa connection na Mtumishi wa Kin advocacy, halafu ikanibidi tuzoweane na Mtumishi huyo wa Kin Disability Advocacy, basi tulipo zoweana nika muelezeya jinsi matatizo yangu yalivyo,   Basi maman huyo ambaye ni Mtumishi wa Kin advocacy, akanipatanisha na NDIS  basi NDIS ikashikaMajukumu  ya usaidizi kuhusu ulemavu wangu, maana ni shirika kubwa la kuasidiya walemavu wote, na leo hii naendeleya kupata misaada yao kuhusu ulemavu wangu, pamoja na hiyo Kin Disability Advocacy ika nisaidiya kwakuni connect na Homes west, shirika ambalo ni lakusaidiya watu kupata nyumba za serikali, na leo hii nimewekwa kwenye priority waiting liste, kwa hiyo sasa mimi ni Ambassador kwenye shirika la Kin Disability Advocacy, nilikubali ili niweze kuwa saidiya watu wa kwetu africa kuelewa vizuri hali ya ulemavu hapa Nchini Australie, Basi nina waomba nyinyi nyote ambao muna ndugu au watoto au majirani wanao na hali ya ulemavu, tafazali musogee Kin Disability Advocacy itawasaidiya kwa kuoambana nahali hizo, Asanteni sana, ni Mimi Etiene Ndambara.

 

Share article